WATU LAB

Wavumbuzi na watatuzi wa changamoto za kidigitali

Bidhaa Bora
Za Kidijitali, kwa ajili ya watu.

Tunaelewa kero na changamoto za kiteknolojia, kwa kutumia ubunifu na ubobezi wetu, tunaunda programu maalum kwa kutumia teknolojia za kisasa ili kutatua changamoto mbaili mbali zinazoikumba jamii

Utaalam Wetu

Solving problems with clarity and simplicity.

Uundaji wa Programu za Kompyuta na za simu

Tunaunda mifumo na programu za kisasa ,zinazo tatua changamoto mbali mbali, zikilenga zaidi kukidhi mahitaji ya mtumiaji.

Akili Mnemba (AI)

Tunatengeneza suluhisho za AI zinazosaidia watu na jamii kuongeza ufanisi wa kazi zao, kuboresha michakato ya kila siku, na kupata maarifa muhimu kwa maendeleo ya jamii.

Mageuzi ya Kidijitali

Tunawaongoza wafanyabiashara na jamii kwa ujumla kupitia mageuzi ya kidijitali, kuanzia mikakati mpaka utekelezaji halisi katika kutatua changamoto zao.

Sekta

Jenga na ukue pamoja nasi

katika sekta yako

Kilimo

Benki & Fedha

Serikali

Afya

Bima

Usafirishaji & Ugavi

Madini

Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs)

Education

Tourism

E-Commerce

Entertainment

About Us

Dhumuni Letu

Kuwawezesha watu katika jamii kutumia mbinu sahihi na mifumo ya kisasa ya kidijitali. Kwani tunaamini katika nguvu ya teknolojia katika kuboresha maisha na kutatua changamoto za watu na kukuza maendeleo ya jamii kiujumla.

Maono Yetu

Kutengeneza mifumo bora zaidi na yenye usalama kwa ajili ya watu katika jamii zetu, itakayo wawezesha watu kukabili changamoto mbali mbali za kila siku kwa kutumia mifumo ya kidigitali kwa ajili ya kukuza maendeleo katika jamii.

Kwa Nini Sisi

  • Mikakati inayotegemea data
  • Ubunifu wa kisasa na unaozingatia ubora
  • Msaada wa karibu 24/7

Zana za Kazi

REACT
NODE.JS
SPRING BOOT
NEXT.JS
FLUTTER
KOTLIN
DOCKER
PYTHON
TYPESCRIPT
JAVA

2022

Mwaka Ulionzishwa

8+

Mifumo Iliyotengenezwa

6+

Wataalamu Wa Teknolojia

4+

Nchi zitakazohudumiwa Afrika

9.8

Alama Ya Ubora (NPS)

4+

Miaka Ya Uzoefu

Technology | for people.

Tufanye Kazi Pamoja

Uko tayari kupeleka maisha yako au biashara yako ngazi nyingine? Wasiliana nasi.

Tuma Ujumbe