WATU LAB

Miradi Yetu

Ukuaji wa kidijitali unaofanywa na Watu Lab.

Tovuti

Dashibodi ya Biashara

Suluhisho kamili la dashibodi kwa wauzaji Afrika Mashariki, ikilenga kasi ya kuhifadhi hesabu.

Ipo Kwenye Ujenzi (60%)
Programu ya Simu

Mfumo wa Usafirishaji

Kufuatilia GPS muda halisi kwa wafanyabiashara wa usafirishaji hata bila intaneti.

Majadiliano (Beta)
Live

Smart Event

Mfumo bora wa usimamizi wa matukio, unaotoa Kadi za Mialiko za Kidigitali, Usimamizi wa Wageni, Taarifa za SMS, na Usimamizi wa Michango kwa ajili ya harusi, send-offs, kitchen party, na matukio ya kijamii.

Live

PixTrend AI

Jukwaa kamili la AI la kuhariri na kuunda picha. Inajumuisha Text to Photo, Photo to Video, AI Inpainting, Studio ya Mandharinyuma, na AI Assistant ndani ya App kukurahisishia ubunifu wako wote.